Makapuku Forum

Haha halafu wewe ndie Pilot ? Na wasiwasi kama wewe ni kapuku au upo humu ndani kwa misheni maalumu uliyotumwa na wakongwe ,kuna sehemu niliona una crush na Mkongwe ,sasa wewe kapuku gani wakati unatoka na wakongwe ?
Na wewe usinifanyie hivyo sasa. Hata in real life kuwa na crush kitu cha kawaida, nilikaribishwa na Bitoz mwenyewe na nikaja kwa hiari yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…