We kweli unaumwa aisee sio poaahdah,na mafua haya ufukweni siendi, ingawa nilitamani niende pale msasani play ground nikacheze soccer kdg ila dah, nahis pua sio yangu
Hukusema wakati unakuja. KaribuNitarudi...
ahsante mkuu, nimetulia tu home hapaWe kweli unaumwa aisee sio poaah
Tulia tu home kwa leo hakuna namna man
Karibu😛😛😛Nitarudi...
Safi we mzee habari yakomambo vipi shangazi
He he penzi ni kikohozihahahahaha,halafu ulivyomuita tu nimeanza kupata NAFUU, itakua ana dawa ya haya mafua ,hataki kunipa
Karibu sana mkuuHuu Uzi nilikuwa siuwelew ila sasa nauelewa
Duh! Ndiyo.maana mwaka unakuwa mrefu sanaHe he penzi ni kikohozi
Siku hizi huu Uzi umekuwa wa wakongwe sio wa makapuku tenaKaribu sana mkuu
hahahahahahahaHe he penzi ni kikohozi