AsanteKaribu kipenzi
🤣🤣🤣🤣Swahiba pole bhanahaya mafua yananitesa sana, mtu aje achukue hii pua, kwa leo siitaki
Mrembo!!!Marahabaaa! Hujambo?
🤣🤣🤣🤣 we mzee Tresor MandalaNimefika Auntie...
Habari za Weekend kwanza..
Huyo mwambie anywe konyagi mapua yazibuke🤣🤣🤣🤣🤣
We huko kwenu hakuna visungura?🤣🤣🤣haya mafua yananitesa sana, mtu aje achukue hii pua, kwa leo siitaki
hahahahaha,hata kama vipo, hiyo si dawa, halafu visungura sio, walau KvantWe huko kwenu hakuna visungura?🤣🤣🤣
Hiyo ndo dawa
mambo vipi shangazi🤣🤣🤣🤣 we mzee Tresor Mandala
hahahha,swahiba hata wewe ? ila hii uliyosema kama nimekuelewa hvNimefika Auntie...
Habari za Weekend kwanza..
Huyo mwambie anywe konyagi mapua yazibuke🤣🤣🤣🤣🤣
ahsante sana, Swahiba, pili nisamehe kwa yote,najua nilizingua juzi kati ila usiwaze,nakumbuka🤣🤣🤣🤣Swahiba pole bhana
hahahahaha,halafu ulivyomuita tu nimeanza kupata NAFUU, itakua ana dawa ya haya mafua ,hataki kunipaMakiwendo Auntie unaitwa huku
Yanazungumzika Swahiba..ahsante sana, Swahiba, pili nisamehe kwa yote,najua nilizingua juzi kati ila usiwaze,nakumbuka
Ndiyo Manake' Swahiba..hahahha,swahiba hata wewe ? ila hii uliyosema kama nimekuelewa hv
Ewaaa mulemule🤣hahahahaha,hata kama vipo, hiyo si dawa, halafu visungura sio, walau Kvant
🤣🤣🤣Ndiyo Manake' Swahiba..
Fanya hivyo🤣
dah,na mafua haya ufukweni siendi, ingawa nilitamani niende pale msasani play ground nikacheze soccer kdg ila dah, nahis pua sio yanguEwaaa mulemule🤣
Jpil tulivu ufukweni na hili joto na beer ya baridi
kile ki konyagi kdg kitafaa kweli? na vipi nikiwa nimekunywa cetrezeni nisije kufa,swahibaNdiyo Manake' Swahiba..
Fanya hivyo🤣
Merci ,Yanazungumzika Swahiba..
Pona mafua kwanza🤣
Sasa hapo inabidi uangalie nini ufanye Swahiba...kile ki konyagi kdg kitafaa kweli? na vipi nikiwa nimekunywa cetrezeni nisije kufa,swahiba