Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Mkuu Niko ,ila nina KAZI maalum kipindi hiki ,tuko pamoja Mkuu /wakuuNawasalimu makapuku wote, Shunie Makiwendo Atoto cocastic Mjep Tresor Mandala moudgulf Obe Lee Carasco Putin mshamba_hachekwi Depal Lovelovie Demi To yeye Midekoo Tayana-wog Mshana Jr makaveli10
Kwahiyo mume wangu ndio ukamtaja wa mwisho😭😭😭Nawasalimu makapuku wote, Shunie Makiwendo Atoto cocastic Mjep Tresor Mandala moudgulf Obe Lee Carasco Putin mshamba_hachekwi Depal Lovelovie Demi To yeye Midekoo Tayana-wog Mshana Jr makaveli10
...asante kwa salamu mdau, na ninakusalimia pia. Kampeni zimeanzaNawasalimu makapuku wote, Shunie Makiwendo Atoto cocastic Mjep Tresor Mandala moudgulf Obe Lee Carasco Putin mshamba_hachekwi Depal Lovelovie Demi To yeye Midekoo Tayana-wog Mshana Jr makaveli10
Msimu wa kampeni, hongera kwa kazi maalum, usijekuwa unapiga doria mtandaoni (joke)Mkuu Niko ,ila nina KAZI maalum kipindi hiki ,tuko pamoja Mkuu /wakuu
...wa mwisho ndo wa kwanza.Kwahiyo mume wangu ndio ukamtaja wa mwisho😭😭😭
Hapanaaa! Hujambo we mzee?...wa mwisho ndo wa kwanza.
...sijambo sana shemegi. Niliongea na mumeo akasema unagombea ubunge, safi sana.Hapanaaa! Hujambo we mzee?
Hahahaha,huku Kuna wengine 🤣Msimu wa kampeni, hongera kwa kazi maalum, usijekuwa unapiga doria mtandaoni (joke)
Hatujambo habari yako pokerNawasalimu makapuku wote, Shunie Makiwendo Atoto cocastic Mjep Tresor Mandala moudgulf Obe Lee Carasco Putin mshamba_hachekwi Depal Lovelovie Demi To yeye Midekoo Tayana-wog Mshana Jr makaveli10
He he wazeee wa kazi maalumMkuu Niko ,ila nina KAZI maalum kipindi hiki ,tuko pamoja Mkuu /wakuu
...asante kwa salamu mdau, na ninakusalimia pia. Kampeni zimeanza
Msimu wa kampeni, hongera kwa kazi maalum, usijekuwa unapiga doria mtandaoni (joke)
Auntie mwambie ukweli.Aiseeeh!