Makapuku Forum

Tresor Mandala karibu sana tule nyama na bia, ila usije mwenyewe uje na kipenzi changu Shunie na swahiba wako Makiwendo pia mwambie moudgulf ampitie Atoto na mwisho kabisa mshtue Obe mwambie hajaalikwa πŸ˜‚
...duh, baada ya kujua makaveli10 ana mwaliko na hamjaanialika basi nitakuja kwa mualiko wake, ndiyo faida ya kuwa na marafiki wanaopata mialiko.
Halafu mimi nikija, sitaki soda, kama vipi mnipe miasita yangu kabisa nikajinunulie nyagi nipate hamu ya kula visunguratope
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…