Makapuku Forum

...ujue nini, katika wanaoniwazia mazuri na afya njema ni wewe, nimekuja mbio, ninahemea juu juu kama kapteni Komba (RIP) nikajua leo napona kumbe ndiyo kwanza umeniita nijipatie zawadi ya shinikizo la moyo kwenye ugonjwa wa moyo nilionao kwa kupenda.
Ninamalizana na goli la mkono (mambo ya Nape) ili kuondoa stress. Asante kwa kuniitia matatizo, sisi sio milima
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa shemeji kwani ulifichwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…