Umekatisha ndoto yangu, nilikuwa naota nimeokota hela. Ndio nataka nianze kuzitumia unaniita ita kama unanidai figo!!Good Morning kwa wapambanaji wote na wazalendo wote Obe Lee Mtu Chake Carasco Putin makaveli10 mshamba_hachekwi
Good morning kwa warembo wote mnaomiliki iphone na majumba yenu hapa dasalama Makiwendo Shunie tunawapenda sana maboss lady wetu.
Good morning kwa makapuku msio na hela mnaotumia itel na alcatel kuswampia humu ndani, mnaoishi kwenye nyumba ya kupanga na unadaiwa kodi Atoto amkaaaaaa kumekuchaaaaaaa unalala una raha gani? 😂
Kikuu kamnusisha anachovuta🤣🤣🤣Aloooh [emoji1787]
Kikuu lini sasa maeneo yako ya kujidai hii itakuwa tayari?Kampuni ya Apple, imezindua toleo jipya la simu ya iPhone 15, ambalo linahusisha aina nne za toleo hilo ambazo ni iPhone 15, iPhone 15 Plus, iPhone 15 Pro na iPhone 15 Pro Max.
Uzinduzi huo umefanyika mbele ya waandishi wa habari katika makao makuu ya kampuni hiyo mjini Cupertino, Jimbo la California, nchini Marekani, na kurushwa mbashara kwenye tovuti ya kampuni hiyo, saa 2:00 usiku (saa za Afrika mashariki).
kwa mujibu wa kampuni hiyo, simu hizo zitauzwa bei ya kuanzia na Sh2,001,965 (iPhone 15), huku iPhone 15 Plus ikuzwa kuanzia Sh2,503,083.
Simu hizi zinakuja na rangi ya tano tofauti, ambazo ni pamoja na nyeupe, nyeusi, nyekundu, kijani na njano.
kwa upande mwingine, kampuni ya Apple, pia imetangaza uboreshaji wa camera kwa kwa simu hizo, maboresho ambayo yanajuimuisha uwezo wa picha za 'automatic' ambapo imeelezwa kuwa zitaweza kutambua wakati picha inapigwa kwa mtu mmoja, na kwamba kamera hiyo, pia ina ubora wa hali ya juu kunasa picha za mnato.
Katika uzinduzi huo ambao kampuni hiyo imeliita ‘Wonderlust,’ (ikimaanisha tukio lenye kustajabisha),
iPhone 15 inakuja na matoleo hayo manne, huku kati yake, mawili ni yenye yenye ‘skrini’ za inchi 6.1, na yaliosalia yana ukubwa was skrini ya inchi 6.7.
Mabadiliko mengine katika matoleo hayo mapya ni uwezo wa betri, mfumo wa camera na mwonekano wake, huku kwa mara ya kwanza, kampuni hiyo ikitambulisha chaja mpya za USB-C. Huku ikielezwa kuwa mabadiliko hayo yanalefanya mfumo wa kuchaji simu hizo kuwa rahisi.
Awali kampuni hiyo ilifanya mabadiliko ya kuchajisha katika bidhaa zake nyingine, lakini uzinduzi huu sana umeelekeza mabadiliko katika simu za kampuni hiyo, ambayo kimsingi ni takwa la kisheria baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kupitisha sheria mpya, inayotaka vifaa vyote vya kielectroniki kutumia chaja hizo.
View attachment 2747463
Wala sijali [emoji1787][emoji1787] kikubwa yupo mzima basiiii hilo ndio la muhimu na uzee huu tuanze kuliliana na mawivu hapana maisha ni matamu sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lee yuko kwa jimama huko wala hana habari!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo sifa sasa ulizopewa nimecheka sanaaKikuu kamnusisha anachovuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka kwenye upenzi na kuja kwenye udada na ukaka [emoji1787][emoji1787] mbona ghafla sanaa mmepatwa na niniiHivi Atoto utaendelea kusuka mabutu mpaka lini? Nimekutaftia mchumba umekataa kuolewa [emoji23] unang'ang'ania kulalia masofa hapa nyumbani.
Tuzingatie maokotoo🤣🤣🤣Wala sijali [emoji1787][emoji1787] kikubwa yupo mzima basiiii hilo ndio la muhimu na uzee huu tuanze kuliliana na mawivu hapana maisha ni matamu sanaa
Kama zile sifa zao, dogo kakosea jukwaa🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo sifa sasa ulizopewa nimecheka sanaa
Ukute anayo tangu mwezi ulopita🤣🤣🤣Huyo sio la kuuliza hilooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah wewe mwenyewe umeshindwa kutafuta mchumba wako unazurura tu kama kuku alopoteza vifaranga. Huyo wa kunitafutia mie unamtoa wapi? Wewe ndio uhame nyumbani, mama kasema tukunyime chakula.Hivi Atoto utaendelea kusuka mabutu mpaka lini? Nimekutaftia mchumba umekataa kuolewa 😂 unang'ang'ania kulalia masofa hapa nyumbani.
Aaaah auntie nitake radhi🤣🤣🤣Kutoka kwenye upenzi na kuja kwenye udada na ukaka [emoji1787][emoji1787] mbona ghafla sanaa mmepatwa na ninii