Makapuku Forum

Jumatano ni siku nzuri kwa kila mmoja na sababu zake. Sababu zangu ni zile zile kwamba ninakuwa nimemaliza na J3 yenye mambo matatumatau na ni sababu tosha kabisa ya kusheherekea huku nakunywa bia ya baridi inayotoa jasho na karanga zenye maganda yake.
well, najua unaweza kupata kibao hiki youtube na yamkini unacho kwenye flash yako au wewe kama mdau mzuri wimbo huu ni moja ya ringtones nyingi ulizonazo.
Ninaandika kwa kuwa jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo. Acha Upendo Utawale

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…