Makapuku Forum

Notifications kwa applications kwa miaka leo nimeanza kuzipata
 
Ofisi ya Waziri Mkuu imesema Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hana akaunti Instagram huku ikikanusha taarifa iliyosambazwa kwa jina lake (Kwenye swipe) ———“Taarifa hii si ya kweli na wala haihusiani na tamko lolote la Waziri Mkuu Majaliwa, na wala Waziri Mkuu Majaliwa hana akaunti yoyote ya Instagram yenye jina Kassim Majaliwa, kwa sasa akaunti rasmi ya Ofisi ya Waziri Mkuu ni @owm_tz
 
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ameitaka kampuni ya SINO HYDRO inayofanya upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa kuhakikisha inakamilisha ujenzi huo kwa viwango na kwa wakati.

Hapi ameyasema hayo alipotembelea mradi wa ujenzi huo unaogharimu Tsh. Billion 41 na unatarajiwa kukamilika June 23, 2022.

“Wakandarasi wababaishaji natuma salamu kwao hawatakuwa na nafasi kwenye Mkoa wetu wa Iringa na hawatakuwa na nafasi kwenye Serikali hii, habari za kuomba kuongezewa muda kuchelewesha miradi,kufanya miradi chini ya kiwango hayo hayatakuwa na nafasi tutakuwa wakali zaidi tulivyokuwa jana”———Ally Hapi

Awali ujenzi huo ulisimama kutokana na kuchelewa kwa malipo ya fidia za mali za Wakazi wa Kata ya Nduli ambapo upanuzi huo umehusisha maeneo yao.
 
Sawa
 
mambo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…