Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji7].,.ujumbe muhimu kabisa tukiitafuta Jpili siku ya Wababa duniani.
Kuwa baba ni zaidi ya kuwa na uanamume wa kutungisha mimba.
Heko Wababa wote tulio humu na tunatumia majukumu yetu ipasavyo ili wanetu waje waimbe nani kama Mama
Wanazaliwa au wanatotolewa kwenye yai?
[emoji23][emoji23]Hahahaha
Wapendwaaa mmetekana
Mjombaaa sina pesaa...ankooo, salama mjomba wangu?
Mjombaaa sina pesaa
...ngoja nikutumie namba ya ole Saniniu Laizer, kadaka bilioni za maneno, aniulize mimi mkulima wa korosho ambaye bado naidai serikali.
Anko nikilipwa tu nakutafuta nimalizie ile hela unayonidai na kama vipi kesho nakuja uniongee ada ya wapwa zako maana shule zimefunguliwa ghafla sana. Utajumlisha tu hakuna shida
Mmmmmmh bwana lizer ana watoto 30 plus four wifes ....mjomba kama ni kama koroshooo hapooo nitumiee ya leo tu