Na kwako piaWeekend njema
Na kwako pia
NakuonaMama J..
Nakuona
Thank you!
Ila umejificha sana...
Inapendeza 😀Nipo bhana..
Mambo ya kuchukua form ndio yalikuwa yamenibana..[emoji16]
Inapendeza [emoji3]
Umeanza!! 😂Hahaha.. kabisa..
Vipi leo Dollar mnauzaje? [emoji1]
Umeanza!! [emoji23]
Dollar ya nchi gani? Kama ni USA ni 2316.00 Tsh
Mie huyo? Au Sakayo..Asantee.
Si simu zangu hupokei sasa..[emoji23]
Mie huyo? Au Sakayo..
Busu lipi tena maana yako mengi
Hahahaha, ndio hivyo
Weekend njema
Na kwako pia mdauWeekend njema