Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,820
Hahahaha, hutaki kuja kisiwani huku? Huku Leo bata tu, tunawafungulisha vyuo wadogo zetuUko kigamboni hapana kwa kweli
Sawa we mzee kila la heriHahahaha, hutaki kuja kisiwani huku? Huku Leo bata tu, tunawafungulisha vyuo wadogo zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona we mzee
Tupooo na cooooonaaa
Kabisaaaaa
HABARI.....?..
wanahitajika madalali tufanye biashara ya magodoro moja kwa moja kutoka kiwandani ,,na mchakato wao mkubwa utakuwa ni kuleta wateja wa jumla na reja reja,,, na watapata malipo kama kawaida punde wanapoleta mteja...
kwa mawasiliano zaidi 0692449416
unapoleta mteja tu pesa utapata hapo hapo kwa 20percent....hii ni nzuri. Kamisheni inaanzia ngapi kiasilimia?
..tricky, but fair. Asante.unapoleta mteja tu pesa utapata hapo hapo
20 percent kiongozi..tricky, but fair. Asante.
Naamini watakuja wadau wenye nia ya kufanya hii kazi
Vyema Mtu.
Salama kiongozi?..tricky, but fair. Asante.
Naamini watakuja wadau wenye nia ya kufanya hii kazi