Nachojua leo ni weekend na sina sababu ya kutkukusalimia wewe mdau wa Jukwaa hili linalonipa sababu ya kuwepo, wewe ndo sababu mimi niko hapa na kwa taarifa yako tu, nimekutana na Jose Cuervo usiku huu tunaifurahia karantini,
Tetramelyz unaonekana kwa nadra sana hapa jamvini au lockdown imekufanya ushindwe kutouchdown mitaa hii