Makapuku Forum

Hivi shunie unajua nilikukumbuka sana na majukwaa mengine sikuoni kabisa. Sasa leo yale matuthii ya jana utayaleta kweli ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza umenipa kazi ya kufukua makaburi yako nijue nani jamani I'd nimeona ngeni ila nimejiuliza mbona mkongwe

Jamani anko [emoji134][emoji134][emoji134] matusi hakuna leo hivi ndugu yako yuko wapi jamani wick
 
Hahahaha, yupo mbona! Siku hizi kawa kijana mzuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…