huu ni ukoo mzima wetu na anko wangu obe sasa ukimgusa husna umegusa ukoo ....umeishaaaaaaNdio
Binti mzuri hivyo una roll joint
Kweli dunia imeisha [emoji23][emoji23][emoji23]
At least ungekua na Sura Ngumu
Unachekani?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu bwana!!!Ndio
Binti mzuri hivyo una roll joint
Kweli dunia imeisha [emoji23][emoji23][emoji23]
At least ungekua na Sura Ngumu
Leee vip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
niajeeee mkubwaa
tuko salama kabisaMmeamkaje wakuu
mmetekwaaa na valentineeeeeeeeeeee
Wanasema dunia ni duara, naamini ipo siku makapuku na sisi tutaitwa wakongwe na heshima itakuwepo na bahati nzuri hatutowadharau makapuku wepya
semaa umeachwaaaa