Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hakuna mwingine kama King hapa duniani na katika sayari zinginezo. Hail to the King [emoji122][emoji122]King ni mtawala, himaya imesambaa pembe zote za Dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mtekaji hana hurumaAliiba nywila,,,karudi kifungoni tena
We miss uAm here mama mpandishwa cheo kuna jipyaaaaa
Kaka ningendakoWatu wachoyo humuu hata kualikana eid
Kheri ndugu habari ya mapumzikoSalaam bi Tumosa
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh,,huyu mtekaji ana roho mbaya sana,,,hizi nywila anakuwa anatoa kwa dak kadhaa then anachukua tena[emoji16]
#MtekajiMpeKibongeMweusiNywilaZake
Mbona nimefika sijaona hilo bango moudKabisa.
Mbele utaona muorobaini nyuma utaona mti wa mbilimbi, kibarazani kuna bango linasomeka "moodgulf".
Karibu sana
Lazima wasagaji wawepoWasagaji kibao hapo itakuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nikiwepo mnanikimbia nikiwa sipo mnanimissWe miss u
Hatukukimbii mtoto mlitoNikiwepo mnanikimbia nikiwa sipo mnanimiss
Ww tena ndio usiongee kabisa si unajifanyaga umetekwa weweHatukukimbii mtoto mlito