Makapuku Forum

Ukidownload ukumbuke kuzisave tu usije ukatuletea kama ya dada ako tumosa leo anatuwekea wengine kesho kutwa anatuletea wengine

Kumbe watu tuna kumbukumbu zote

...sasa aunt ulitaka wabaki vile vile jameni, si wanakua kimo na mwili na inabidi wabadili nguo pia. Alishawadownload kitambo sasa wamekua, mimi mwenyewe wamekua hadi wananichanganya akiwaweka humu, hii ni hata kwa watoto wa ndugu na binamu yangu ningendako koko banga
 
Binamu tatizo sio kukua tatizo mpaka jinsia imebadilika

Eti kokobanga teh teh..
 
Hahaha binamu mbona unaniponda tena,unang'ata na kupuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…