Mzee wa Tanga kumbe ulikimbilia huku?
Tanga tena si anasemaga yupo koromije
Mlipo nyinyi,nami nipo[emoji2][emoji2][emoji2]Huyu jamaa tapeli tapeli sana, yupo Tanga sasa hivi, huko Chato alishatoka
Kumbe ulishatoka huko chimbo?Mlipo nyinyi,nami nipo[emoji2][emoji2][emoji2]
Mwanadada MillionaireHahaha hahaha hahaha
EeeehhhMwanadada Millionaire
Kumbe ulishatoka huko chimbo?
Kwahiyo upo hapo Bamaga sio?Ndio mzee hahaha
Niko poa toto korofiAah wapi!
Uko poa?
Ndio bro,karbu sanaKwahiyo upo hapo Bamaga sio?
😀😀😀 poa poa broNdio bro,karbu sana
Nani anakuficha eti[emoji3][emoji3]
Nafurahi kusikia upo poa
Naona umeamua kujilipuaTanga tena si anasemaga yupo koromije
Hapana mpendwa mbona nipo wazi kabisa sijafichwa mimi...Nani anakuficha eti
EeenhNani Mzee siku hizi, na nimezeeka lini? Wewe mrembo usivuruge bahati yangu
Kumbe umemuona ndugu yako[emoji2][emoji2]Naona umeamua kujilipua
HahahaKapicha kwenye avatar kamenibariki. Mecho imeosheka. May thunder strike all your enemy. Amin
We baba wawili mbona huelewekiHuyu jamaa tapeli tapeli sana, yupo Tanga sasa hivi, huko Chato alishatoka
Hahhaha kwahiyo nisiseme baba wawili kama ulitekwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo shunie
We unajua sisi tupo wapi etiMlipo nyinyi,nami nipo[emoji2][emoji2][emoji2]