Ha ha ha ha binamu,mimi na yai wapi na wapi ,kolomije huku tunabonga kisuku tu,,hizo lugha mimi pia mgeni...atakuja binamu yangu ningendako yeye ndo anajua kumwaga yai utasema anatokea BBC Londoni.
Ila kuna mtu chake ukidediketiwa za kifaransa mcheki akupe twisheni au kama vipi tukutane kwa ras simba
Si ajabu akasema anadaiwa pesa ya tuishieni ya ras simba[emoji23][emoji23]Hivi kwa Rasi simba bado unaenda binamu
Niaje broTumomoo
Hata sijui mie we mzeeHahahaha, ndio uniambie sasa namiss nn hapo ulipo muda huu
Baba wawili huyooooHa ha ha ha binamu,mimi na yai wapi na wapi ,kolomije huku tunabonga kisuku tu,,hizo lugha mimi pia mgeni
Hahahaha, usijari acha tu niendelee kumissHata sijui mie we mzee
Kumiss nini we mzeeHahahaha, usijari acha tu niendelee kumiss
Poa baba wawili za wwinsta baby mwenyewe
Mambo vp
Kumiss nini we mzee
Salama shunie,taratbu mambo yanaenda vipi kwenu huko?Poa baba wawili za ww
Hahhaha we mzee wa madini una mambo sanaChochote kile
MTC | 101| [emoji769]
Kwema za uko porini kwako jeSalama shunie,taratbu mambo yanaenda vipi kwenu huko?
Hahahaha, madini yapi Sasa , na mambo gani tena, Shangazi Rafiki kipenzi ShunieHahhaha we mzee wa madini una mambo sana
Porini kupo poa tu,karbu tumuangalie Dj Afro[emoji2][emoji2][emoji2]Kwema za uko porini kwako je
Nakuona ankoo,,wouzeeeer[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahaha, madini yapi Sasa , na mambo gani tena, Shangazi Rafiki kipenzi Shunie
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, Anko acha uchochezi , mie najisemea tu ujue ,sasa wewe Naona km una chonganisha na kuchocheaNakuona ankoo,,wouzeeeer[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Majina yote hayo ya shunie,,,shangazi,rafiki,kipenzi[emoji2][emoji2][emoji2]
Umesahau na lile la insta baby!!
Ha ha ha ha hapana ankooo,,shunie ana majina kama yote,,hujaona hapa anaitwa insta baby[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, Anko acha uchochezi , mie najisemea tu ujue ,sasa wewe Naona km una chonganisha na kuchochea
MTC | 101| [emoji769]
Ha ha ha ha binamu,mimi na yai wapi na wapi ,kolomije huku tunabonga kisuku tu,,hizo lugha mimi pia mgeni
Hahahaha, ndio uniambie sasa namiss nn hapo ulipo muda huu