Makapuku Forum

Hahaha hahaha hahaha

Tusichoshane hebu... Mie nalala zangu jamani...

Nyie mnakunywa sijui Heineken wengine cha Kiitaliano mnanichatisha tuu mimi...

Nalala, kwa herini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jiandae kuamka saa sita mama naah

Jana niliwahi kulala nikaamka saa nane nikaangalia zangu movie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…