[emoji120][emoji120][emoji120]zmefika ucjaliSalamu sana kwa akina wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona
Barikiwa[emoji120][emoji120][emoji120]zmefika ucjali
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]AminaBarikiwa
Hahahaha, bonjour Shangazi ,umeamkajeUmalize kwanza maswali yangu tutaendelea kesho we made acha nilale
Najua tu utakuja niambia tu mm sitaki hata unitajie I'd yake we mzee
Mzee wa kutetema habari yakoHahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ameeeeen[emoji524]TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu BWANA MUNGU WA MAJESHI..ASANTE BABA KUTUAMSHA SALAMA LEO Alhamisi njema tarehe 28 Februari 2019 ..Asante kwa neema na rehema...Tunaomba toba kwa makosa yote tuliyofanya kwa mawazo ,maneno,matendo na kwa kutotimiza wajibu mbalimbali...uturehemu twakusihi.
Siku ya leo tunaleta kila hitaji mbele yako maana hatuna mahali popote tunapopategemea..tunaomba utuponye magonjwa yetu yote
tusaidie tukuone Baba katika kila tutakachofanya leo fungua milango ya baraka kwa kila mmoja wetu.Tunaomba uponyaji wa mwili na roho.Bariki kuingia na kutoka kwetu..tupe imani thabiti katika kila jambo tukushirikishe.... kila mapito yetu. Tukuite Mfalme was Amani ..adui mwovu ashindwe katika jina la Yesu Kristo...Wabariki wasafiri...waangalie na kuwafariji wafiwa wote wape tumaini.angalia wajane,yatima na wote wanaohitaji msaada kimwili na kiroho wakuangalie wewe tu.
Tusaidie tuwe msaada kwa kila mmoja ,tuongeze upendo na imarisha amani katika maeneo yote na kwa kila jambo tukutangulize.Asante Baba kwa kuwa utatenda sawa na mapenzi yako.Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen.
ALHAMISI NJEMA YA UPENDO DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE[emoji257][emoji257][emoji257]
Si manga anakwambiaga umepotea humu au umepandishwa cheo[emoji4][emoji4][emoji4]cheo gani eti kilichopanda
Nimeamka salama habari yako we mzeeHahahaha, bonjour Shangazi ,umeamkaje
MTC | 101| [emoji769]
Huyo raia mwema ulimuomba akupe au aliamua tu we mzeeHahahaha, ni RAIA mwema ali volunteer
MTC | 101| [emoji769]
Huyo raia mwema ulimuomba akupe au aliamua tu we mzee
Unazo we mzee picha uliyoniambia ni kweli ni yangu wala usiogope bwanaHahaha, RAIA mwema aliamua tu ,Shangazi bana nakuzingua tu sina picha
MTC | 101| [emoji769]
Nimeamka salama habari yako we mzee
HahahahaUnazo we mzee picha uliyoniambia ni kweli ni yangu wala usiogope bwana
Huyo raia mwema we mzee aliyekupa ni yule mshkaji wangu eenh najua unajua wala sitamuuliza uwe na amani kabisa we mzeeHahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Na mm nimefurahi piaHabari yangu ni muzima tu,nafurahi km umeamka salama
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, safi Sana ,mutoto muzuriNa mm nimefurahi pia