Hahhahaha sijajua hapo ni kwa wote au ni kwangu tu
Anhaa ndo unajitetea eeHamna shunie anatania tu ..siwajua anapenda Sana matani ..au umemsahau !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mamy " mimi kwako huwa sithubutu kuuruhusu ulimi wangu ukutamkie uwongo " siunajua vile ambavyo kwako nimpofu wa penzi lako " so naanzia wapi kuwa na tabia mbaya kama hiyo mimi ..naanzaje kumuongopea mwanamke nimpendae chini ya hili jua
Hahahhhh Rogie bwanaPolee ntakupa nyingine
Hahahhhh Rogie bwana
Hahahha swali la kimtego hili ujue naanzaje sasa kusema sitaki niko nasubiriHaha hutaki?
Hahahha swali la kimtego hili ujue naanzaje sasa kusema sitaki niko nasubiri
Daah Tumosa njoo unipepee tafadhali.. huyu mdogo wenu mmelisha nini mbona kawa na roho ya kijasusi kiasi hiki
Daah Tumosa njoo unipepee tafadhali.. huyu mdogo wenu mmelisha nini mbona kawa na roho ya kijasusi kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kiongozi
Mama la mama ...za ijumaa?Hahahha swali la kimtego hili ujue naanzaje sasa kusema sitaki niko nasubiri
Hahahaha,ndio maana ake niko sehemu nina kikao kdg ,nikimaliza hiki ni kuanza week end
Hahaa...! Namalizia changu hapa M.Towers afu nasogea maeneo yetu soon.Hahahaha,ndio maana ake niko sehemu nina kikao kdg ,nikimaliza hiki ni kuanza week end
MTC | 101|