Kuna siku nilidanganya kwamba ni ME kina Jambilo wakaachia ngaziKwanza nmegundua Amenn ni mke wako natural na unaishi naye nyumba moja..
Umemfungulia ID hapa li unioshee.
Sitaki yena ligi ndogo na wewe
Jonax nitakurudisha rumande[emoji23] [emoji23]Alaf Jambilo na ile Avatar yake aliyoiweka unaweza ukajua ni Ke kumbe ni Me.
Alafu jina lakepia limefanana kama la demu wangu wa zamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haniwez akishtuka tyr nishazalisha mapacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilidanganya kwamba ni ME kina Jambilo wakaachia ngazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Nenda ukaombewe bila kutoa sadakaCc fake pastor
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Paroko halafu mkware [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Km ni soka basi ni counter attack japo ball possession 10% lkn unafunga goli 4[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi na wewe ndo ukapatia advantage hapo hapo...
Kweli kila kitu ni fitna.
Maana hata mm nmemfitini sana youngblood
Wapi ex wa mtuMi silent killer
Sifanyi mbwembwe
.................
Daah! Kwel mm nmsahaulifu yani nmetoka kifungoni masaa machache yaliyopita alaf nataka tena kurudia makosa?Jonax nitakurudisha rumande[emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha yamekuwa hayoHaniwez akishtuka tyr nishazalisha mapacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Yaaani pm sasa hapatoshi midume inagongea mbaya mseemkuu nlikiwa sikufaham kiukweli hahahahaha balaa.
Pastor umesahau ile kitu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama ni striker basi unakuwa Diego Costa yani unacheza rafu na fitina nyingi lakini mwisho wa siku tunataka magoli tuuuKm ni soka basi ni counter attack japo ball possession 10% lkn unafunga goli 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Mi na maombi wapi na wapi?Nenda ukaombewe bila kutoa sadaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Acha ubabe umetoka jela leoAisee kumkuu ntakutoa kwa KO vibaya sanaa muulize Youngblood jinsi nilivyompora Nahrene wake n nkamtia na mimba juu
Wapi ex wa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahaha mkuu unatafuta vita
Mi na maombi wapi na wapi?
Hapo atawapa wale PIV (poor innocent victim)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha ubabe umetoka jela leo