...usiku mwema wadau! Ndugu yenu ndo ninaingia zamu yangu ya kuwa macho usiku. Nalinda Jukwaa hadi pale binamu ningendako atakapotoka kwa mchepuko wake mpya, angalieni picha mtaelewa kwanini anavaa tshirt ya buluubulaki
....huyu wa kulia, mrembo wa Kihindi na ambaye pia ni balozi wa arsenal huko india, kamuita Iwobi kuwa ni sokwe!
Mdada huyu ni muhindi, sijashangaa lakini
Nimeelewa katika uvuvi wa PWANI na BARA...nifurahi wapi ndugu yangu, nimeumia sana lakini ndo hivyo simu yangu haina vile viemoji vya kunionesha nalia.
Sina hofu na wewe mtaalamu wa uvuvi pwani na bara
...endelea, na hapo kwenye bata nakuongezea na kuku ukamilishe, kuku mle hivyo hivyo maana mrija umeibiwa
Mbona umefurahi sana binamu baada ya kusikia kauli ya madame kuwa ukiachwa unaachika
@Shunie.hivi umetekeka au ndio umeenda kongo kwa mjomba kufata udhamini wetu wa Je wajua,?umemisika na wanao huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wana ubaguzi hawa mbwa
....huyu wa kulia, mrembo wa Kihindi na ambaye pia ni balozi wa arsenal huko india, kamuita Iwobi kuwa ni sokwe!
Mdada huyu ni muhindi, sijashangaa lakini
Baba wawili kumbe we mzungu hivyoMbona umefurahi sana binamu baada ya kusikia kauli ya madame kuwa ukiachwa unaachika
Ebu kachekecheke kule basiMfyuuuu