Makapuku Forum

Haya haya haya hayaaaaaah ...unakimbiaaaa kojo unakanyagaa jiviiiiii ...samakiii na maharage yaletwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio wa bukoba huyooo mnyantuzu kutoka mwanza
 
Reactions: Lee
Dada wanijua. Sikukuu hiyo. Nipo Mtaani huku kwa ndugu huku hivyo nikaona nichungulie kidogo japo nakaribia kutokamo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhhahaha nilijua tu mm sio kawaida hii kuwa online mda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…