Shemeji Yangu trafiki kanishika na kosa la kutotoa hela ya kubrashia viatu
Wao lengo niwe kama wao ila sikubaliiiiWakiyaleta yako usianze heka heka
Kwa hiyo huna shida ya kuwa mke wa tano.[emoji38][emoji38]mjomba ako anatoa sana hela yaani kina nukta ni hela
Alafu aliesema ni Anko Binam wako wa damu kbsShemeji Yangu trafiki kanishika na kosa la kutotoa hela ya kubrashia viatu
Tatizo la ABJ hana Kabisa mashetani ya kupenda hela, yaani ananipa sana mawazo sijui itakuwaje sasa nikilipwa hela zangu na zile za kuokota MoAchaa abj azileee
Ss mpk round yangu ifike si ntakua nimemsahau hata huyo mume anafananaje. ? Mi staki huo mnyororoKwa hiyo huna shida ya kuwa mke wa tano.
Za kuokota nini[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la ABJ hana Kabisa mashetani ya kupenda hela, yaani ananipa sana mawazo sijui itakuwaje sasa nikilipwa hela zangu na zile za kuokota Mo
Alafu amenipa u queen mswati [emoji25][emoji25]Tatizo shemeji amebadilika kuwa King Mswati![emoji6][emoji6][emoji6]
HaupooooSs mpk round yangu ifike si ntakua nimemsahau hata huyo mume anafananaje. ? Mi staki huo mnyororo
Na bora usiwepo maana Jiwe km namuona huko alikoHaupoooo
Kupewa u queen mswati maana yake na wewe chepuka!....na chepuka na mimi apa![emoji1][emoji1][emoji1]Alafu amenipa u queen mswati [emoji25][emoji25]
Kupewa u queen mswati maana yake na wewe chepuka!....na chepuka na mimi apa![emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaha aiseeMr koroshow habari.
Unayumba ss rafiki.kirahisi rahisi namna hiyo.?[emoji54]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki kwani mimi sitaki utamu??![emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23]Njoo kwangu fasta acha longolongo rafiki!Mimi huwa nampenda mtu hadi anakoma![emoji4][emoji4][emoji4]
Kwema dada?[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23]