lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Unaalika binti date halafu anakuja
na maringo,ety oooh!,"...babe hata
ctakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL
nikala kuku..."
We na ugentleman wako unamnunulia
whiskey ya Jack Daniel 50000' baada ya binti wa watu kunywa mafundo kazaa anatapika makande na mahindi ya kuchoma walai,,,sa
hapo ndio inabidi umuulize romantically"...swry!uko sure ulikula
kuku au ulikula chakula cha kuku?.
Maana according to oxford advanced learner's dictionary.
Pupil....a person who is being taught, a specially a child in a school
Student...a person who is studying at a university or a college
mwanafunzi muoneee huruma mwalimu wako mpaka anataka...............Wewe pupil hayo maneno Malizia Irabu za mwishoni. Mbona unakuwa mgumu kuelewa
Even at secondary levelMaana according to oxford advanced learner's dictionary.
Pupil....a person who is being taught, a specially a child in a school
Student...a person who is studying at a university or a college
Kwema sana ndugu yangu..Long tym no see jombaaKapuku hukuu Hamna hayo yoote
Happy furahi day
Braza braza braza kwema
Mkuu ni hizi mishe za kutafuta rizikiKwema sana ndugu yangu..Long tym no see jombaa
AiseeKapuku mtiifu vp
Mumy kuna shida yeyote, popote?Assante shem
Aisee hapa lazima itakuwa mbege, au Togwa.
Nimekuelewa xaviamwanafunzi muoneee huruma mwalimu wako mpaka anataka...............
worry out!Poa brother.
Enjoy.
Usisahau zawadi.
Bby hakuna shida.Mumy kuna shida yeyote, popote?
Byee byeee braza....mchana mwema kwenu,
na amani iwe kwenu,
na log-out.
**********************
Thanks Honey..Love you mbaya kabisa sana..Bby hakuna shida.
Hebu nimalizie kimeo cha office badae ntarud
Nyc lunch bby.
Love yuuuuuu
Karibu sana kakaWooow!! Nmerudi tena baada ya kutoka kifungoni..
Nko free sasa
Salute
Kuliko dagaaNi mwendo wa ukauzu tu
...............