Makapuku Forum

Aaaah
Possibly kipind mandele yuko jela hko

Ila umetsha jimena
Ni shida mkuu kipindi hicho hiyo ngoma nilikuwa naiimba mwanzo hadi mwisho ila sasa sio kiswahili wala kingereza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ni shida mkuu kipindi hicho hiyo ngoma nilikuwa naiimba mwanzo hadi mwisho ila sasa sio kiswahili wala kingereza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halaf unakuta unapiga maneno flan hevee, yana endana kabsa na mwenye wimbo

Ungeendelea sana ungekuwa ni mgunduzi wa lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…