Makapuku Forum

Haya ktk ukoo wenu huyo ameshafeli.
Ss angalieni mwingine
Hatukubari,,binamu yetu kuferi kizembe kama hv
Tumeunda tume ya masaa 24,,anakuja kivingine hv sasa,,,ubahili kwsha,khs ung'eng'e tyl ras simba anafanya yake
 
Reactions: Lee
binamu ana mambo sana,nasikia na ung'eng'e pia ni jam,,,,sijui tunaanza kumsaidia na lipi kwanza

Anatia huruma na zile ngonjera zake anazoimba hapa

...hapa kwenye un'eng'e wa kulaumiwa ni anko wangu kwa kweli, unajua yeye umri wetu haujatofautiana sana, ila ndo alikuwa anaaminika na ukoo anapewa hela yangu ya ada anaenda kuhonga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…