Salamu nimezipokea na nashukuru sana, vipi uko wapi leo? Maana aunt kanidipu anauliza uko wapi tangu Ijumaa, hajajua kama siku hizi kwa kuruthumu bali uko majimatitu kwa Zuwena wa AzamNikiongeaa ukwelii nakuoneaa kweli ?
Salam zikufikiee ulipo
Nilipo sikwambii make utanifataaSalamu nimezipokea na nashukuru sana, vipi uko wapi leo? Maana aunt kanidipu anauliza uko wapi tangu Ijumaa, hajajua kama siku hizi kwa kuruthumu bali uko majimatitu kwa Zuwena wa Azam
HahahhahahhahKorosho zimempotezea ajira msomi wa propanda
Kumbe mpenzi wa story kama sisi mm na tumosa wangu ni mateja wa story tumosa nilimtoaga kwenye mastory huko
Nikamwambia twende nyumbani kwetu makapuku akaja na kupata mume juu sasa hivi wamezaa watoto wao wawili mapacha wa kudownload
Anko ameokoa jahazi,,ukipata mihela ya korosho mpatie ya soda
Hahahhah simwambii mtu yeyote.....sasa mpeleke Mary kwenye mastory ila uwaambie wadau kuwa tayari yuko na mimi. Na sipendagi ushindani naujua uchawi
,Mungu ni mwema km makapuku kuna barka za mume na watt.
Mpenzi wa story aisee
Vp ukiitwa bamdogo,?
.....sasa mpeleke Mary kwenye mastory ila uwaambie wadau kuwa tayari yuko na mimi. Na sipendagi ushindani naujua uchawi
Ati limbwata la nini.?.....huyu hata maji tu ya bure hapati. Dhambi ya kuniharibia jina kwako itamfuata kama mtu alitelishwa limbwata la bata
....mwendo wa mapacha tu huku, utafurahia ukinipata mimi, kila mtu atakushangaa sana
Anko wangu anatafutwa na RC wa Tabora kwa kumuachisha shule mwanafunzi, alikimbia maana ile sukumaaa ndani inamuhusukm Anko wako alivyonishangaa kujilengesha kuja mtwara,!
Wacha tule beer..Wanasayansi wanawasiwasi dhidi ya jiwe kubwa lililoingia kwenye mfumo wetu wa Jua na kutoka kwa kasi ya ajabu, linaweza likawa ni ndege ya Aliens waliokuja kuchunguza mfumo wetu wa Jua.
Wanasayansi walitumia darubini za mawimbi ya sauti kulichunguza jiwe hilo kubwa linaloitwa 'Omuamua' ambalo liliingia kwenye mfumo wetu wa Jua mwezi oktoba 2017 kwa spidi ya ajabu na kutoweka.View attachment 929968
Umemtamani eeh?Huyu jamaa kiboko inaonekana alikuwa hana show mbovu View attachment 929957View attachment 929958
Unataka kunitumia ama?