Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,781 Kwema hapa??
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,782 Shunie said: Eiiish nitajua kwenye nywele zangu halafu hilo panky vipi tena jamani dingimtoto khaaaa Click to expand... Ujaipenda hii Gentle man Panky
Shunie said: Eiiish nitajua kwenye nywele zangu halafu hilo panky vipi tena jamani dingimtoto khaaaa Click to expand... Ujaipenda hii Gentle man Panky
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,783 Shunie said: Ndio mkazane uko Click to expand... kwangu nikiangalia zaidi ya kukazana mpaka, najionea aibu
Shunie said: Ndio mkazane uko Click to expand... kwangu nikiangalia zaidi ya kukazana mpaka, najionea aibu
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,784 Kwema kamanda, habari za huko uliko ningendako said: Kwema hapa?? Click to expand...
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,785 Shunie said: Ndio nani huyooo hana jina Click to expand... Naskia anaitwa kiranja mkuu tuu kwakweli
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,786 Shunie said: Anae mfyuuu unataka kuchangamkia fursa Click to expand... Neema hiyo hahaha
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,787 Shunie said: Hahhaaha A na B yote majibu Click to expand... Ntaongeza c na d twende sawa
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,788 Shunie said: Waje kujibu tu Click to expand... Si ndio eenh
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,789 Shunie said: Click to expand... Uwekezaji wa kishindo
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,790 dingimtoto said: Hmm hizi tafiti Click to expand... Majibu tafadhali
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,791 ningendako said: Kwema hapa?? Click to expand... Kwema kbs habari yako,?
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,792 Majibu ya...... marybaby said: Majibu tafadhali Click to expand...
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,793 dingimtoto said: Kwema kamanda, habari za huko uliko Click to expand... Huku kwema kabsa,,habari za huko??hali ya hewa imekaaje huko
dingimtoto said: Kwema kamanda, habari za huko uliko Click to expand... Huku kwema kabsa,,habari za huko??hali ya hewa imekaaje huko
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,794 marybaby said: Kwema kbs habari yako,? Click to expand... Salama marybaby ,,habar za huko?
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,795 ningendako said: Huku kwema kabsa,,habari za huko??hali ya hewa imekaaje huko Click to expand... Huku joto balaa, ila ndio Neema hizi wengine wanapiga pesa kwa ajili ya jua Za majukumu ?
ningendako said: Huku kwema kabsa,,habari za huko??hali ya hewa imekaaje huko Click to expand... Huku joto balaa, ila ndio Neema hizi wengine wanapiga pesa kwa ajili ya jua Za majukumu ?
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,796 dingimtoto said: Majibu ya...... Click to expand... Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,797 Aah wapi? Hapo pameandikwa umenukuu vibaya mary marybaby said: Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu Click to expand...
Aah wapi? Hapo pameandikwa umenukuu vibaya mary marybaby said: Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu Click to expand...
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,798 ningendako said: Salama marybaby ,,habar za huko? Click to expand... Huku njema kbs,umekua adim
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,799 dingimtoto said: Huku joto balaa, ila ndio Neema hizi wengine wanapiga pesa kwa ajili ya jua Za majukumu ? Click to expand... Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro.
dingimtoto said: Huku joto balaa, ila ndio Neema hizi wengine wanapiga pesa kwa ajili ya jua Za majukumu ? Click to expand... Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro.
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,800 dingimtoto said: Aah wapi? Hapo pameandikwa umenukuu vibaya mary Click to expand... rudi nyuma kwenye "je wajua
dingimtoto said: Aah wapi? Hapo pameandikwa umenukuu vibaya mary Click to expand... rudi nyuma kwenye "je wajua