Kumbe kwa aika kupo hivyo nilikuwa najiuliza hivi hawa kina aika kwann hawataki kuoana wana mafanikio makubwa nyumba na studio wamejenga pamoja kama ndugu wa mume hawakukubali ndoa haifungwi labda nahreel ajifanye hamnazo amuoe hivyohivyo
Hata mimi nipo Single...Eeenh
Imekuwaje tena mpaka kuwa popo hivyo
Mana ikifikia kuwa popo hivyo ujue upo single na kwako najua haupo single
Hata mimi nipo Single...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Teh teh teh,Hahhahha anko halafu mbona umeadimika hivi
Anko huwezi kuwa single bwana uko ulipo
Teh teh teh,
Mimi singo faza bwanaa.
Hahahaha mimi singo boy bwanaa.Hahhahaha anko bwana
Sasa unakubali vipi kuwa singo faza anko na hivyo ulivyo
Zikurudie na wewe mkuu[emoji113] [emoji113] [emoji113]Nawasilimu tuu wakuu. [emoji119][emoji119]
TulitekanaAisee humu jpili wote mnakula raha
KwemaaNawasilimu tuu wakuu. [emoji119][emoji119]
$hikamooooAisee humu jpili wote mnakula raha
Itakua naona mnarejea taratibuTulitekana
Mahbaa bata zimeisha au haftime$hikamoooo
Tuko hapaMko wap[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndio mkuuItakua naona mnarejea taratibu