Makapuku Forum

Uwe na lengo lakuhakikisha unaweza kuweka mipaka na usimfanye huyo mwanaume ndo kila kitu hapa duniani kwani kuna siku anaweza kubadili uamuzi ndipo kujuta kutakuja.

Ni busara kwa wewe mwanamke hata kama una mchumba uendelee kujihusisha na kazi yako, taaluma yako kiasi kwamba hata ikitokea amekuacha huwezi kuchanganyikiwa.

Kama umewekeza kwa mchumba upendo na mapenzi ya asilimia 100 Je, baada ya kuoana utawekeza kiaasi gain?
 
[emoji8][emoji8]
 
Mhhhhhh..
 
Mmesikia nyie vijana panawahusu hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unakuwa housegal kuolewa anakuja kuolewa mwingine
 
Asanteeeee
 
Aika na shaa inawahusu hapa maana ndo viongozi wa wanawake wavumilia mahusiano ya muda mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unakuwa housegal kuolewa anakuja kuolewa mwingine
 
Yan jamani eti mahusiano miaka kumi nq kitu wana kipaji cha pekee

Kama master jay sidhani kama atamuoa shaa hata bomani anashindwa kumuoa kweli sema ndoa ya kikristo hata kama imevunjika labda ndio anachokiogopa
Aika na shaa inawahusu hapa maana ndo viongozi wa wanawake wavumilia mahusiano ya muda mrefu
 
Umeona ee. Ngumu sana kwa master j kuoa tena

Ila kwa navykenzo nasikia upande wa mume hawampendi aika ndo maana wameamua kuishi tu hivyo hivyo bila ndoa
Yan jamani eti mahusiano miaka kumi nq kitu wana kipaji cha pekee

Kama master jay sidhani kama atamuoa shaa hata bomani anashindwa kumuoa kweli sema ndoa ya kikristo hata kama imevunjika labda ndio anachokiogopa
 
Kumbe kwa aika kupo hivyo nilikuwa najiuliza hivi hawa kina aika kwann hawataki kuoana wana mafanikio makubwa nyumba na studio wamejenga pamoja kama ndugu wa mume hawakukubali ndoa haifungwi labda nahreel ajifanye hamnazo amuoe hivyohivyo
Umeona ee. Ngumu sana kwa master j kuoa tena

Ila kwa navykenzo nasikia upande wa mume hawampendi aika ndo maana wameamua kuishi tu hivyo hivyo bila ndoa
 
Message delivered to all members of Makapuku forum!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…