nitamuelewa akishabikia yoyote mradi isiwe Man U..
Magomeni kubwa bana!.. to or fro town?.Karibu na kwako bus moja tu kutoka kwangu
Hili jaribu litanishinda kwakweli!!... utanivuruga sana!.Sasa man u ndio team yangu mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaMagomeni kubwa bana!.. to or fro town?.
Hili jaribu litanishinda kwakweli!!... utanivuruga sana!.
wapi sasa!?.. kimara, ubungo, manzese!?.. ila me siishi magomeni banaHahaha
Mm siishi magomeni bwana
shabikia nyingine sio Manure bana!!... pleasee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio mana siwezi kushabikia arsenal
Mambo ABJHiii
Poa Transcend za weekendMambo ABJ
This is fucking real..[emoji41]
wapi sasa!?.. kimara, ubungo, manzese!?.. ila me siishi magomeni bana
shabikia nyingine sio Manure bana!!... pleasee
Niko poa kabisaaWeekend nzuri tuu.
Uko pouwa wewe?