Miss u zaidi,nimefurahi kukuta uzi bado upo hot
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila la kheri na msukuma wako
Inabidi ujifunze ndg yngu ooooh
Yani alisema hivii, leo wikendi baba, nikamjibu we sema niwakute wapi na mwenzio (wewe).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka pcha tuone kichwa cha chini kinavokuwa akili ikihamia[emoji125] [emoji125]
Ntakufundisha tu, taratibu tu!..
Nani msukuma!?..
Nilikua poa lakini sio sasa!..
Acha tu!.. Hivi viembe vibichi me ntakula hata na chumvi walahi!..
Njoo na kikopo kikubwa kubwa, kuna vitoto vinakuja na sh. 50 sana zinachosha kuzihesabu!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naomba babe nije kukusaidia kwenye kitengo cha mahela
Pouwa kabisa.Mzima wewe ?
Yes mama!.. kisukuma kina maneno machache ujue!..Mh babe
Anakudanganya huyo ni nani kwanza nimjue!..Ww unavyonifundisha ananiambia vya uongo
Ewaaa!!..Wewe babe mnyantuzu
Kuna baridi sana njombe!..Nini shida uko unaumwa
[emoji23]hebu nambie nani kakufundisha mawazo maovu, nikadeal naye!.. haiwezekani me kusema maembe mabichi uniite mhuni.. kuna sababu!..Hivi babe utaacha lini uhuni jamani
Njoo na kikopo kikubwa kubwa, kuna vitoto vinakuja na sh. 50 sana zinachosha kuzihesabu!..
Ila sio kwa tafsiri hiyo usinidanganye mpaka najuaYes mama!.. kisukuma kina maneno machache ujue!..
Kuna rafiki yangu nasoma nampigia kumuulizaAnakudanganya huyo ni nani kwanza nimjue!..
Ewaaa!!..