Amen[emoji524]TUOMBE:
Baba Asante kutuamsha salama tukiwa wazima siku ya leo
Tunaomba Toba mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe
Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.
Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .
Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen
JUMATATU NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washazoeana kupingana
Nko poa ww je?Uko poa ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twende mrs infoJe wajua kuwa nami shunie shunie
Salama Eden za kwakoHabari ya asubuhi makapuku forum
Mkushi morningNjema mkuu
Kyupiiiii kama lillmezoeaa kulowaa kojooo rutuba tosha
ShikamooAmen!
Uko poaWooooooyoo^oo mrs info asante
Mkushi uko mzimaAmen
Eeenh ni chupi tu fanya uone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni nguo za ndani tuu mke mweee za nje hapana
Niko poa kabisa ofu kwakooUko poa
Shukran kwa Magazet
Na kwako piaMuwe na asubuhi njema na mwanzo mwema wa wiki nawapenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]