Nakupa hiii na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 859161
Unajifanya hunioni ee [emoji53][emoji53][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuuuuuu lee mume wa mtu sahizi shauri ako
Hahaha karibu sana,mie sito kukula 😀Me sikulani nakuja kwa shayo kukupa kampani [emoji6] usinifukuze
Hee,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata Mimi jomonii siwezi kuacha heineken easily hivyo,.hell nooo,.
[emoji23][emoji23][emoji23]nyau wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachwa kumekuuma eenh ebu hii nyimbo ikusindikize ulipo
[emoji23][emoji23][emoji23]nyau wewe
Hujalewa kweli weweNina utoto gani wa kuchukuliwa mm
[emoji3][emoji3][emoji3]mmmmm basi hapo ndo utanikula,vitu vikishakolea kichwaniHahaha karibu sana,mie sito kukula 😀
Hujalewa kweli wewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tumeachana sijaachwaa mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu fungua nyimbo ikufariji hiyo
Tutaniane vingine jamani sio matani ya mahela[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani unakula ugimbi wewe?[emoji3][emoji3][emoji3]mmmmm basi hapo ndo utanikula,vitu vikishakolea kichwani
Bibi weeh ndio yaleyale jifariji na nyimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tumeachana sijaachwaa mfyuuu
Hahahaha hapana siliKwani unakula ugimbi wewe?
HahahaTutaniane vingine jamani sio matani ya mahela
😂😂😂kwanza moyo huo sina chee,.niwanunulie bia,mkunywe,mlewe,muinjoi,mcheze mziki na kuimba kwa nguvu,mruke ruke,mgonge chiazz,muongee kiingereza,.afu mimi niwaangalie tuu tena nilipie..hapana jamanii "I want a beer" na Mimi woiiEti babe hivi unaanzajee uache tukiwa bar we hunywi unatununulia tunaokunywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]