Makapuku Forum

...wewe una kile kinywaji ambacho kirungu mpweke anapenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kila siku naskia shule za english medium, hivi hakuna za maximum nikupeleke ili sentesi yako uiweke katik maximum kienglish tuelewane wawili tuu[emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Obe

....mimi nimesoma chuo na shule za vidudu tu enzi hizo basi, mambo haya ya medium sijui low au maximum nimeyaonea zilipoingia simu za kijanja
 
Hata mimi nilisoma enzi za simu jinga, kabla haya masimu janja yao kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…