The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
SAWA SHEMEJIMuite mke wa,lee sio bibie
Karibu kapuku ....SAWA SHEMEJI
Hayaaaaaaa mmmmmhShindwa ...utamu wa tamu aujuaye mwenye tamu yake so wacha nilindeeeee
Huyu ashaelewa
Napambana na $ ,zikifika $ million ndio nitaanza walau kuwakumbukaWaachee sasa hao wachezee butuaa watakwaa mawe
Nimekoma😛Akusalimie kwa adabu
Polee sanaNapambana na $ ,zikifika $ million ndio nitaanza walau kuwakumbuka
Maana unaweza kupenda MTU ,kumbe unasumbuka tu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Agrrr nilijua kitimoto...hayaa baba wasalimie kwa shayoJioni hii,muda wa kwa Shayo, kula ugimbi ,tupige mastory vzr
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ntakuzimiaa data
Hanitishi wala nini..
Sikutishiiii [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hanitishi wala nini..
Kwa adabu ipi au ndo unataka nianze kusalimiwa shkamoo khaa!?Akusalimie kwa adabu
Mnatishiana nn nyie vijana, tishianeni ktk kutafuta helaSikutishiiii [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hamna bradha kakaSikutishiiii [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]