Amen[emoji524]TUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo JUMAPILI TAREHE 10 JUNI 2018 Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo Iliyokata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele na ibada zote siku ya leo UONEKANE MFALME WA AMANI NA MFARIJI WETU MUNGU USIYESHINDWA WATANGULIE WATUMISHI WA MUNGU WOTE WATAKAOSIMAMA MADHABAHUNI POPOTE ROHO MTAKATIFU AWEPO AMINA.
SIKU NJEMA,JUMAPILI NJEMA,IBADA NJEMA[emoji1317]
Heshima yko mama mchungajiAmen
Habari za jumapili mtumishi
Duuuuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aliteuliwa bila kuhudhuria
HahahaMweka hazina itapendeza zaidi dear
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa nnKumpa mbalizi1 baba mchungaji mmebugi aiseee
HallelujahNdio wewe ni Baba mchungaji na sakayo mama mchungaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuuh
Hicho kikao kiliendeshwa kwa njia ya veto!
Na uweka hazina wako sio!
[emoji23] [emoji23]
Be blessed my dear[emoji120][emoji120][emoji120]
Aiseee, nacheka kama chizi yaaan
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi niwe msaidizi wa mchungaji
Awe muinjilisti
Wa mama sitaki. Nataka wa baba
Sawasawa mke mweeeEbu ngoja tumpe nafasi ajichagulie cheo kingine
Kumbe ye ndo kashikilia hapo? [emoji23]
Kwakweli yaani mm simsomi kabisaKama hutaki sema tuanze kufunga tukemee pepo lililokuatamia
KhaaaaWa mama sitaki. Nataka wa baba
Aliyepanga hivi vyeo na nyadhifa ni nani lakini?
Naona mmekutana hapo( Shunie vs Mzigua90) na utunza hazina
Baba mchungaji habari za jumapili yakoAliyepanga hivi vyeo na nyadhifa ni nani lakini?