hamna mamaa...wengine tuko loyal mnoo "" tunayathamini machozi ya mwanamke " hatupendi kuona mwanamke anakosewa heshima na kudhlilishwa utu wake " mwanamke ndiye mama wa huu ulimwengu " mwanamke ni kama ardhi jinsi ilivyo na umuhimu "" so " karibu" sugar