Makapuku Forum

Anko Lyon Lee ninakusalimia na wikend ilinificha kiaina. Nimekusoma na nitakujibu baaaye.

Aunt Shunie muziki kama umegundua weekend tangu huu mwaka uanze siweki, nimepata daywaka ya kimwili inanibana weekend yote.

husna muba ninakusalimia


Kapuku na yeyote asiyehusika ninakutakia Jumatatu njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…