Makapuku Forum

Shukrani binamu ...Thanks alout
 
Nakupenda wee mtuu...

Hivi unakumbuka siku ile nimenyeshewa na mvua !

Nikateleza kwenye mtelemko huko milimani (jina kapuni) nikiwa naleta mafuta yako ya nywele...

Kupenda kitu hatari sana...
Hahaha
Aki uko na kumbukumbu mob Sana!! Kama hukuvunjika ile siku hutokaa uvunjike tena love!!!
 
Hahaha
Aki uko na kumbukumbu mob Sana!! Kama hukuvunjika ile siku hutokaa uvunjike tena love!!!
Hahahaa...

Unajua sijasahau kipindi kile uko kwa bibi yako huko kaskazini...

Kule hakuna netwek bhana, ila mtoto ukawa unapiga mguu na kilometre 12 kuja kutafuta netwek mjini ili uwasiliane na T..

Aki Mungu aendelee kukuweka tuu.
 
Muziki: Wiki Njema

Nikushukuru sana mjomba wangu Lyon Lee kwa kuongoza kipengele hiki Ijumaa, Asante sana na jukwaa hili ni zuri kwa sababu wewe upo, pamoja na kunisingizia mambo kweli lakini nitafanya nini sasa wakati wewe ndo anko wangu. Nikusalimie Kapuku mwenzangu na nikutakie wiki Njema , leo ni jtatu FYI.

Wikend kwangu ilikuwa poa sana, niliangalia movie mpya Black Panther , nikaipenda. Usidhani nilienda jumba la senema, la, mambo ya kudownload tu. Si unajua anko wangu kwake ana Wi-Fi so nikatake advantage wikend wakati alipoenda kusuluhisha mgogoro wake na mchepuko wake mpya.

Muziki sasa, nisikuchoshe ila itoshe tu kusema wewe kuwepo hapa pamoja na tofauti zetu, unalifanya MF kuwa sehemu Bora kabisa kuwepo


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…