Muziki: Mdhamini Mnywa Soda
...ujue nini mdau, kila mtu na mtazamo wake na ninaweza kuwa mwathirika wa mazingira na sasa naishi kwa matumaini. Utaelewa tu sio unarukia mambo, do not get ahead of myself, sijamaliza. hebu mwangalie pedeshee mopao Makaveli 10, huyu ni mdhamini wa kweli maana angonga vyombo sasa leo mdhamini mpya kaingia nyumbani. Naye si mwingine bali Gentries mzee wa kunywa soda na shurubati, anadedicate wimbo huu kwa wake anayempenda Evelyn Salt
Tuburudike pamoja nao ila kumbukeni hapa ni mwendo wa soda tu hata maongezi yatachukua muda sana kunoga, mimi ngoja nikatafute kinywaji kilichowekewa sheria
Hapana sio hiyoPunye................
Muite D amalizie
MmhLee
Angalia pm yako
Yupo anakusoma tu hapaPole Sana. Mbavu zikiuma, dadako yupo
Ahsante sana kaka nadhani Evy alipo atabudurika..
Thanks chana njoba obe..😀
Za mm mzima mbona umepotea hivi nini shida jamanZa mimi ni poa tu shunie, sijui za wewe shunie.
MmhMpenzi wa muvi mie huko kwenye Free P kuna Dhambi na Ukimwi..
Inauzwa mpaka kwa wenye umri chini ya miaka 18Muziki: Mdhamini Mnywa Soda
...ujue nini mdau, kila mtu na mtazamo wake na ninaweza kuwa mwathirika wa mazingira na sasa naishi kwa matumaini. Utaelewa tu sio unarukia mambo, do not get ahead of myself, sijamaliza. hebu mwangalie pedeshee mopao Makaveli 10, huyu ni mdhamini wa kweli maana angonga vyombo sasa leo mdhamini mpya kaingia nyumbani. Naye si mwingine bali Gentries mzee wa kunywa soda na shurubati, anadedicate wimbo huu kwa wake anayempenda Evelyn Salt
Tuburudike pamoja nao ila kumbukeni hapa ni mwendo wa soda tu hata maongezi yatachukua muda sana kunoga, mimi ngoja nikatafute kinywaji kilichowekewa sheria
Yaan obe anaudhi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We kakufundisha nani maneno hayo mtoto wewe.Ni kweli wasiopenda pombe wanaume huo ndio ulevi wao mkuu
Pamoja sana mdau, hainihusu lakini ili nisichanganye mambo, kwa hiyo siku hizi uko na huyu? Maana inabidi uwe wazi ili anko wangu Lyon Lee nyumba nyingi asije akajidai mmasai akaweka mkuki nje ya nyumba yako
Mambo mambo ya hapa na pale tu ndugu yangu, siunajua maisha yamepitiliza graph ya x na y..Za mm mzima mbona umepotea hivi nini shida jaman
Msamehe bure, yaani free of charge.Yaan obe anaudhi
Nawe pia mkuu.Wakuu nimepita niwasalimie tu niwatakie usiku mwema na maendeleo mwema wa jukwaa
Nakuja na Redbull mamaNdiio