Makapuku Forum

*
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaikeFCC; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.*
*Yoshua 1:9*
Jumapili ya leo iwe maalum kwako kupitia neno hili

Uwe hodari
Na moyo wa ushujaa
Usiogope
Usifadhaike
Kwa kuwa kila uendako Bwana Mungu yu upande wako..
Nimejisikia vyema asubuhi ya leo tukumbushane Neno hili
Barikiwa sana
 
Amina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…