Makapuku Forum

Muziki wa Mdhamini: Promota Hatukinao

Unamkumbuka yule promota aliyeimbwa na Wagosi wa Kaya, basi usimlinganishe na mdhamini wa Orugambo, huyu ni aunty yangu ninayempenda maana anapendwa na mjomba wangu pedeshee mnayemjua. Hebu tuburudike pamoja

 
Binamu yangu mie asante sana [emoji4][emoji4] najiona nipo nyumbani mimi nakupenda ujue binamu pamoja unapenda kuniuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…