Kila kitu niliambiwa maka yaan asante sana kwa moyo wako kuroot simu kwangu big no acha matangazo yaendelee kuwepo jamamNikaambiwa unaogopa!!
Nikakupa suggestion ya apps nyingine lakin ni bomba kama ukiwa umeroot.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Roho mbaya tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata me naonaMda tu utatuambia mbivu na mbichi
Naanzaje kutokukuamini mimiKwamba huniamin au
Shem apa sijakuelewa na najua ili fundisho halihusiani na weweNdoa hupangwa na Mungu na ukiona unaemchagua hakupelekei kwenda kwenye ndoa rudi kwa Mungu
Mwambie Mungu nampenda Fulani kama ni wangu kwa maisha yangu nisaidie na kama sie ni huyu anaeletwa bas nipe mapenzi
Habar za kumng'ang'ania mwanaume unajuaje kama ndo huyo wa kwako haya mambo sio kung'ang'ania muombe Mungu atakusimamishia tu wakwako
Na utampenda na kuishi vizur usianze kusema sio chaguo langu,,huyo mwingine nani alikwambia chaguo lako
Ndo siku mbili unaolewa ooh bora ningewasikiliza wazazi, waume wakuchaguliwa sio wazuri ila inapotokea migogoro simama na Mungu akupe wako [emoji120]
Muwe na mchana mwema
Apo sawaNaanzaje kutokukuamini mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata me naona
Nimekufundisha mm au yule[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Akaanze kusema eti mimi na wewe tuna mambo mazito ya siri[emoji17] [emoji17] [emoji17]Kila kitu niliambiwa maka yaan asante sana kwa moyo wako kuroot simu kwangu big no acha matangazo yaendelee kuwepo jamam
Ahahahhh hivi una niniii lakiniShem apa sijakuelewa na najua ili fundisho halihusiani na wewe
Ebu niambie nani eti kanifundishaNimekufundisha mm au yule
Mambo mazito yapi tenaAkaanze kusema eti mimi na wewe tuna mambo mazito ya siri[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nimelisoma kwa kutafakari nikajiuliza ni uchovu wa safar auAhahahhh hivi una niniii lakini
MakaEbu niambie nani eti kanifundisha
Umesahau alisema mazito ya siriMambo mazito yapi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimelisoma kwa kutafakari nikajiuliza ni uchovu wa safar au
Maka [emoji15] [emoji15] anahusika vipiii na mimiMaka
Sasa mbona umecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazito ya siri maka ebu ukujeUmesahau alisema mazito ya siri
Si mm naona anakupaga makopa kopa au ni husna kakufundishaMaka [emoji15] [emoji15] anahusika vipiii na mimi