Neutral maana yake sijatia kitu tumboni, nimeweke dash mpaka jion hyo, najikung'utia zangu wali ndondo robo nagugumia maji jagi zima, safi nakung'uta miguu najilaza kwenye kipande changu cha mkeka.. shuka gubigubi, mbu, kunguni watajijua na balaa lao, ili mradi nshafunga macho, case closed mpaka kesho panapo majaaliwa ya rabana...