...anko wangu sio huyu aliyekaa kifua game, anko wangu kapita kwa mbali kavaa raba za Nike? Uwe unaangalia picha vizuri, ooh, leo kweli umekunywa heineken
Maka kwa sababu uliingia chaka mwezi naa.... Na mimi nakuaga naingia chaka mpaka November.... Yoyote atakayeniulizia utampa taarifa kwa niaba yangu tafadhali ....sawa Maka.?