Makapuku Forum

Hakika tuna thamani kubwa kuliko tunavyotafsiriwa..Mungu atusaidie tujitambue ...Shalom[emoji123] Asante my baby girl Shunie[emoji7] [emoji7] you are Loved
 
[emoji524]Mteule wa KRISTO lazima utembee katika hali ya kujilinda.
Jilinde kwa kukaa mbali na shetani.
Jilinde kwa kukaa mbali na anasa za dunia.
Jilinde kwa kukaa mbali na kila kitu kinachoweza kukuondoa katika kumpendeza MUNGU.

Jilinde katika usemi.
Jilinde katika matendo.
Jilinde kwa kukaa mbali na kila unajisi
Jilinde kwa kukaa mbali na watu wabaya wanaokuzunguka.

Njia za mteule wa MUNGU kujilinda na machukizo.

1. Kujilinda kwa kulitii Neno la MUNGU.

2. Kujilinda kwa kuenenda katika ROHO MTAKATIFU.

3. Kujilinda kwa kuwa mtu wa maombi kila siku.

4. Kujilinda kwa kuweka tumaini kwa MUNGU tu.

MCHANA MWEMA MBARIKIWE[emoji7][emoji7]
MUNGU AWABARIKI
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ameniiiii
 
Ameen Mama [emoji120] ubarikiwe sana na wewe [emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…